Huo ni utafiti sio MimiUkiona umezaa na mwanamke mwenye furushi mtoto mwenye akili na wewe akili zako ni za mashaka ndugu yangu nenda kapime DNA bila kusita tena haraka
Sio kweli.Tafiti zinaonyesha wanawake wenye maumbo, kufungasha ndio wanazaa watoto wenye akili
😅😅😅Nimesikitika mkuu
huwa ni shida sana, hawanaga akili na wanakuwa na kiburi sana. huwa wanaamini wao ni wazuri kuliko vimbaumbau na wanaume watawataka tu, ila umri ukiwatupa mkono huwa wanatia huruma sana.Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.
Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,
je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili ?View attachment 2797917View attachment 2797918
Makalio ni hifadhi ya mafuta ambayo ni nishati sukari sio protini wala madini. Kwa hio hayawezi boost akili.Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.
Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,
je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili ?View attachment 2797917View attachment 2797918
Hii ni tafiti labda niwape source msome wenyeweSio kweli.
Inategemeana na genetics za pande zote mbili, baba na mama, na pia environmental factors.
Mtoto anaweza zaliwa genius ila environmental factors inaweza didimiza uwezo wake wa kufanya mambo exceptional.
Demand and supply mzee soko lao lipo juu ndio maana kukaa nao unatakiwa utumie akili maana wanaume tunapenda mwanamke mnyenyekevu wa kumpelekesha sasa mtu kama huyu ambae ana uhakika bila ya wewe ana options nyingi huwezi kumpelekesha mtashindwana kama usipotumia akiliNdugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.
Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,
je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili ?View attachment 2797917View attachment 2797918
Source ya uhakika? Ila mimi nimesoma mambo hayo. IQ is inherited genetically.Hii ni tafiti labda niwape source msome wenyewe