Wanawake waliofungasha akili zao hazina akili kwanini

Wanawake waliofungasha akili zao hazina akili kwanini

๐Ÿ˜ณngoja nikafanye surgery.... Mko kutunyoosha wanawake safari hii....tunawazaa ila mmejaa jeuri nyie watoto wa sikuhizi๐Ÿ˜–
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.

Naya sema haya baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kirafiki na wanawake wa aina hii, wakuu wanawake wa hivi kabisa ukiwa nao unaona hapa hamna kitu ,

je ni nini kinawapelekea kuwa zero brain wa ndugu ili hali watoto wamejaliwa mafurushi ya asili
Matatizo yao yanaanzia tangu udogoni. Ilivyo ni kwamba wanaume wengi wa Bongo hupenda kuwa-kuwatania, kuwa-approach na kuwapa kila aina ya sifa wanawake wa aina hiyo. Hii inawafanya waone miili yao ni kama kitegauchumi kitakachowakomboa kimaisha. Kwa kifupi wanabweteka na kuacha kujitahidi kufanya mambo mengine ya maana na muida mwingi wanautumia kujiweka katika hali ya kuvutia. Hili lipo hata kwa wanawake wengi warembo waliozaliwa maeneo ya uswazi. Ndiyo maana unambiwa ukitaka kuishi maisha ya ndoa mazuri kwa Bongo usijedanganyika ukaoa pisi kali.
 
Back
Top Bottom