Wanawake waliofungasha akili zao hazina akili kwanini

Matatizo yao yanaanzia tangu udogoni. Ilivyo ni kwamba wanaume wengi wa Bongo hupenda kuwa-kuwatania, kuwa-approach na kuwapa kila aina ya sifa wanawake wa aina hiyo. Hii inawafanya waone miili yao ni kama kitegauchumi kitakachowakomboa kimaisha. Kwa kifupi wanabweteka na kuacha kujitahidi kufanya mambo mengine ya maana na muida mwingi wanautumia kujiweka katika hali ya kuvutia. Hili lipo hata kwa wanawake wengi warembo waliozaliwa maeneo ya uswazi. Ndiyo maana unambiwa ukitaka kuishi maisha ya ndoa mazuri kwa Bongo usijedanganyika ukaoa pisi kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…