Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Katika pitapita zangu mitandaoni nilikutana utafiti umefanywa ya kwamba unazungumzia wanawake wa kilokole au walokole hawafai kabisa kuolewa na wengi wao sio wife material kiasi cha kwamba utadumu nae katika ndoa.
Watafiti wengi wamegundua wanawake wa aina hii wengi wao ni waongo lakini pia hawashauliki wanajiona wako sahihi kila wanachofanya na wengi wana misimamo mikali kiasi kinachowafanya wanaume wengi kuwapiga chini.
Tabia za wadada kuwawekea masharti wanaume zao in terms of tendo la ndoa,kulea familia na kukaa pamoja na familia yaani unamkuta mdada yupo bizee na dini kuliko kuijari familia yake jambo ambalo wanaume wengi hawalikubali.
Lakini pia imegundulika wanawake wengi walokole wana asili flani ya ujeuri,ukorofi na kudhalau mwanaume wake