Wanawake walioshika dini haswa walokole wengi wao sio wife material wa kuoa

Hayo mengine sijui ila mimi huwa namshangaa mtu anapokuwa busy na mchungaji na kumuacha mumewe.
Ndio maana wengi ndoa zao zina nyufa.
Watu wanampikia hadi baba mchungaji na mke wake yupo!!
Aafu mumewe nyumbani anapikiwa na house girl!!
 
Hii sio sahihi wanakosea
 
Naam
 
Mwanamke akishaanza kumwita kiongozi wake wa kiroho "Dady" tayari anakuwa kashapoteza sifa za kuitwa Wife Material. Ulokole sana kwa mwanamke ni RED FLAG. Kimsingi mwanamke hana dini. Anatakiwa afuate imani ya mumewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…