mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.
Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.
P
Ama kweli Tanzania watu hawataki kuona nje ya boksi! Ubunge sio ajira! Unataka watu wapime pros na cons, huoni kuwa kukubali kupeleka wabunge ni kukubali kuwa CCm imeshinda kihalali? Sasa kama chama kishatowa msimamo wake kuwa hawakubali matokeo halafu wanapeleka wabunge kufanya kazi na serikali ya CCM huoni kama hapo ni kujipaka kinyesi wao wenyewe?