Uchaguzi 2020 Wanawake walioshinda na kushindwa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu, 2020


Ama kweli Tanzania watu hawataki kuona nje ya boksi! Ubunge sio ajira! Unataka watu wapime pros na cons, huoni kuwa kukubali kupeleka wabunge ni kukubali kuwa CCm imeshinda kihalali? Sasa kama chama kishatowa msimamo wake kuwa hawakubali matokeo halafu wanapeleka wabunge kufanya kazi na serikali ya CCM huoni kama hapo ni kujipaka kinyesi wao wenyewe?
 
Ccm pumbafu kabisa mkakaibia kura haka kabinti.nyie ni mashetani wa kijani
 
Mkuu Pascal p'se be objective. Yaani wewe sasa umeanza kuangalia mwenendo wa kisiasa nchini kama muamala wa kibiashara? Strategically, huoni kasoro CHADEMA kugeuka chama cha "VITI MAALUM" Bungeni? Kikubwa, huoni janga lililotokea kwa demokrasia kuangamizwa nchini kabisa kupitia taasisi muhimu za dola katika uchaguzi Mkuu wa 2020? Kwako ni bora CHADEMA "iwepo tu" kama fursa ya kipato "haramu"cha ubunge usiokuwa na manufaa kwa taifa? Hao wabunge acha CCM iwachukue.

Au ndio REALPOLITIK uliyoamua kuzingatia siku hizi? Yaani watawala wasaidiwe kuendeleza ubakaji wa nchi na wananchi?

Kwa sisi wananchi hatuna haja na CHADEMA wala chama chochote cha siasa kuwa bungeni kwa mwenendo uliopo hivi sasa. CHADEMA wakiruhusu wabunge wa "kupewa" kuingia bungeni basi wajue watatambulika kama umoja wa kuweka na kukopa, period. Ajenda ya kitaifa haitawahusu tena na hatutawafuata tena.
 
Yule mama Salma Kikwete inamaana hakupita kule kusini?....simuoni ktk list yoyote hapo vipi taarifa zake?
 
Dah,huzungumzi chochote kuhusu mwanamke aliyekamata kura fake akiwa anapigania ajira yake.Wanawake waliodharirishwa wakiwa wanapigania ajira kwenye majimbo yao .Au wengine wakienguliwa wakiwa wanapigania ajira zao kwenye majimbo.

Nafikiri ni ujinga zaidi kama Chadema itawapeleka bungeni hao wabunge wa viti maalum.
 
Duuh
 
Pascal vaa mtandio wende wewe mwenye njaa , CCM ina wenyewe ,umejipeleka na njaa yako wamekupiga buti kule na bado umegeuka fisi
 
Tatizo la viti maalumu ni kwa kina mama tu ndo maana unaona mizengwe na misimamo isiyoeleweka, laiti ingekuwa na akina baba wamo nakuhakikishia chadema wangekuwa wa kwanza kupeleka majina na wangeomba waapishwe haraka, ubinafsi uliopitiliza ndo tatizo kubwa linalokimaliza chama hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…