Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Mkuu yale makario ndo yanampa kiburi,, we muombee TAKO lipungue
 
Wanawake wa siku hizi ni majambazi 99%
 
Ahahahahahah...kwani ile si ni win win game??
Hiv mtu (mwanamke) hawezi aka spend pesa yake ku fund pleasures zake na mwanaume bila kumtegemea au kutaka kulipwa? 😂😂
Wanawake wote wanajiuza. Wametofautiana mbinu za biashara tu. Kuna wanaijiuza direct na wanajiuza indirect. Kinachosikitisha ni hawa wanaojiuza indirect kujiona wao ni decent women na kuwasakama wanaojiuza direct kwa kuwaita malaya au wadangaji wakati kimsingi wote wanafanya biashara moja.
 
Huyo ni Jini mnyonya Damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…