Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Hahahahah ni kweli maana kwa hapo ni lazima muwe wengiMi mchepuko akinitumia meseji "baby naomba elf 30 nikasuke"
Kichwani hua nawaza hivi hii meseji nimetumiwa mimi peke yangu? Basi naamua kupiga kimya nasema acha watume wenzangu.
Kwahiyo mnatuuzia?Nyie mkichoka kuomba vibumbu na sisi tutachoka kuomba pesa..!!
Evelyn Salt come and I will promise you what you like the most...
Mwanaume ni mtoaji na Mwanamke ni mpokeaji that's is nature....hata kwenye tendo wewe ni mtoaji.....Sipendelei kabisaa kuombwa pesa. Nina allergy na hili suala hasa toka kwa wanawake
Umesema wewe hayo, hakuna sheria hii.Mwanaume ni mtoaji na Mwanamke ni mpokeaji that's is nature....hata kwenye tendo wewe ni mtoaji.....
HayaUmesema wewe hayo, hakuna sheria hii.
Ha ha ha!Mi mchepuko akinitumia meseji "baby naomba elf 30 nikasuke"
Kichwani hua nawaza hivi hii meseji nimetumiwa mimi peke yangu? Basi naamua kupiga kimya nasema acha watume wenzangu.