Pre GE2025 Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeona watu wamemchangia Mama Samia milioni 120 kwa ajili ya kuchukulia fomu 2025. Watu hao wanaongozwa na Kassim Majaliwa waziri mkuu wetu.

Swali langu ni Je ni halali kwa Mama Samia na wapambe wake kuanza kampeni kabla ya wakati?

Je haiwezekani kuwa Kassim Majaliwa anamtengenezea Mama Samia ajali ya kisiasa? Katiba ya CCM na Maadili yake vinasemaje?

Back
Top Bottom