Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
kijana ametoa hoja kule kwenye mtandao pendwa hasa na watu mkoa wa kanda ya ziwa lakini ameshambuliwa sana hasa na wanawake nini shida wakuu..kwangu mimi naona sawa tu....
niwe active muda wote...Lengo la wewe kuji-tag ni nini mkuu!