Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
tatizo ulianza mapenzi ukiwa mtoto, ungeyasubiri ungeona raha ya mapenzi saasa, maana past behaviours sisinge influence mtazamo wako kwa mwanamke sasawanawake wameniumiza sana tokea shule ya msingi..
sit0sahau siku mwanamke wangu alip0niacha na kwenda kwa jamaa mwenye KICH0NGEO KIPYA
niliumia sana
.
.
#g0odluck_mchika
duh una r0h0 m...Na bado utaumizwa sana maana sie si watu wa mchezo mchezo
hahaDaaaaaah pole sana mkuu ulianza mapema mnooo Na ww! enz za kuazimana kichongeo