Wanawake wameniumiza sana

Wanawake wameniumiza sana

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
1,448
Reaction score
661
wanawake wameniumiza sana tokea shule ya msingi..
sit0sahau siku mwanamke wangu alip0niacha na kwenda kwa jamaa mwenye KICH0NGEO KIPYA
niliumia sana
.
.
#g0odluck_mchika
 
Daaaaaah pole sana mkuu ulianza mapema mnooo Na ww! enz za kuazimana kichongeo
 
Lazima uumizwe kama ulianza ngono zembe tangia shule ya msingi inamaana hujafahamu maana ya kupenda mwanamke.
 
kiasili wanaume ni polygamists... kiasili wanawake ni wasaliti!
 
wanawake wameniumiza sana tokea shule ya msingi..
sit0sahau siku mwanamke wangu alip0niacha na kwenda kwa jamaa mwenye KICH0NGEO KIPYA
niliumia sana
.
.
#g0odluck_mchika
tatizo ulianza mapenzi ukiwa mtoto, ungeyasubiri ungeona raha ya mapenzi saasa, maana past behaviours sisinge influence mtazamo wako kwa mwanamke sasa
 
Back
Top Bottom