Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Tupo busy na uzi wa kuselfika
Mjomba wetu huyu acha kuona wivu.Hahahahahaha
Ila roho yaumAaa
[emoji3][emoji3]
Kuna hali nimeanza kuiona kwa miezi sasa humu ndani. Watoto wazuri wamepungua au mimi ndiye sikutani nao?
Hawaonekani kabisa! Sitaki kuamini wazee mnawakeep saana busy PM hadi humu hawatokei tuchit-chat. Kina nanii wote hawapo....
Please jitokezeni tunamiss uwepo wenu...raha ya mwanamke kuchekacheka na mwanaume bhana.
Haswaa
Wamegundua jf ya sasa imejaa vi benten na vijamaaa vya ccm ambavyo muda wote vinaandika mashudu. Wakaona sio kesi ngoja wakomae na InstgramKuna hali nimeanza kuiona kwa miezi sasa humu ndani. Watoto wazuri wamepungua au mimi ndiye sikutani nao?
Hawaonekani kabisa! Sitaki kuamini wazee mnawakeep saana busy PM hadi humu hawatokei tuchit-chat. Kina nanii wote hawapo....
Please jitokezeni tunamiss uwepo wenu...raha ya mwanamke kuchekacheka na mwanaume bhana.
+256.......code ya sasa hviiiAlaaah! Kumbe upo.!! Kwan una namba nyingine? Maana ile sikupi kwa sasa
Abeeh Dada ulivyoniita wanataka kunigawia mahela eti@Shunie
Jana na leo [emoji3577][emoji3577] mrembo wangu
Sema kweli jamaniHahahahahaha
Ila roho yaumAaa
Tukiwa hapa tunachat mnatusimanga eti hatujielewi kutwa tunashinda tunachat, tukiwa busy na mambo yetu mnaanza kutuulizia tena, mtukome
Tukiwa hapa tunachat mnatusimanga eti hatujielewi kutwa tunashinda tunachat, tukiwa busy na mambo yetu mnaanza kutuulizia tena, mtukome
Kweli jamani dadaSema kweli jamani
Daby amekuhamu etiAbeeh Dada ulivyoniita wanataka kunigawia mahela eti
Mbona sina taarifa zake jamaniMjomba wetu huyu acha kuona wivu.