Wanawake wamepungua sana humu. Kulikoni?

7800 movement iliondoka na warembo wengi sana JF
Kuna hali nimeanza kuiona kwa miezi sasa humu ndani. Watoto wazuri wamepungua au mimi ndiye sikutani nao?

Hawaonekani kabisa! Sitaki kuamini wazee mnawakeep saana busy PM hadi humu hawatokei tuchit-chat. Kina nanii wote hawapo....

Please jitokezeni tunamiss uwepo wenu...raha ya mwanamke kuchekacheka na mwanaume bhana.
 
Wamegundua jf ya sasa imejaa vi benten na vijamaaa vya ccm ambavyo muda wote vinaandika mashudu. Wakaona sio kesi ngoja wakomae na Instgram
 
Back
Top Bottom