Kweli mimi ni mtoro humu, sadari ni nani eti???kila wakija huku wanakutana na nyuzi za sadari wanasepa[emoji23][emoji23][emoji23]
Haujanialika ndiyo maana siujui....Muulize Daby anaufahamu huu uzi?ajaribu kuupitia atawaona huko
Selfika na JF: Snap it. Show it
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na...www.jamiiforums.com
Nipo hapa mimi jamani mkaka mzuri mzuri, sema ulinikataa mimi jamaniMdada mzuri mzuri upo?
Walikuwa wanafanya makusudi tuu uniache bana!Ndiyo mdada mzuri acha nikukatae tu maana ungeniumiza sio kwa kusalimiwa salimiwa vile kila upitapo.
Wameacha?
Hapana sina mkuuSaana mzee.....wewe hauna?
Mkuu ndio umerudi leoHaujanialika ndiyo maana siujui....