Wanawake wamepungua sana humu. Kulikoni?

Wanawake wamepungua sana humu. Kulikoni?

Muulize Daby anaufahamu huu uzi?ajaribu kuupitia atawaona huko

Haujanialika ndiyo maana siujui....
 
Ndiyo mdada mzuri acha nikukatae tu maana ungeniumiza sio kwa kusalimiwa salimiwa vile kila upitapo.

Wameacha?
Walikuwa wanafanya makusudi tuu uniache bana!
Saivi hamna hata wa kunigeukia mkaka mzuri mzuri jamani!
 
Back
Top Bottom