Wanawake wamepungua sana humu. Kulikoni?

Kuna hali nimeanza kuiona kwa miezi sasa humu ndani. Watoto wazuri wamepungua au mimi ndiye sikutani nao?

Hawaonekani kabisa! Sitaki kuamini wazee mnawakeep saana busy PM hadi humu hawatokei tuchit-chat. Kina nanii wote hawapo....

Please jitokezeni tunamiss uwepo wenu...raha ya mwanamke kuchekacheka na mwanaume bhana.
ITAKUWA WAME KUMBWA NA UPEPO WA KISULI SULI.
 
Mkuu wanalea jf ina matunda mengi sass

Back
Top Bottom