[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47]Uwezo wa kukariri mambo
Ulitaka kuandika craming capacity au?Uwezo wa kukariri mambo
Uwezo wa madai.Claiming capacity ndio nini...
Dah.....ni ulalamishi bana.... Acha kutuchanganya[emoji87] [emoji15] [emoji41]Uwezo wa kukariri mambo
Dah.... Ndiyo uzuri wa kiingereza....bado maana ipo[emoji87] [emoji41] [emoji12]Wanaume wana high reasoning power and thinking capacity lakini claiming capacity yao ndogo.
Wanawake wana claiming capacity kubwa lakini thinking capacity yao ndogo sana
Unaweza kuta jimama la miaka 35+ linazidiwa akili na mtoto wake wa kiume wa 15-17 years.
Neno Claiming Capacity halileti maana uliyoilenga MkuuWanaume wana high reasoning power and thinking capacity lakini claiming capacity yao ndogo.
Wanawake wana craming capacity kubwa lakini thinking capacity yao ndogo sana
Unaweza kuta jimama la miaka 35+ linazidiwa akili na mtoto wake wa kiume wa 15-17 years.