Wanawake wana kisasi kibaya sana, ole wako uingie kwenye 18 za X girlfriend wako uliyemuumiza moyo na hajakusamehe

Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Ukitoa maamuzi kwa kufuata machozi ya mwanamke umekwisha anauwezo wa kulia machozi mangi lakini ndani akawa anacheka kicheko kikubwa cha dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…