Wanawake wanacheat zaidi ya wanaume......

gplus

Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Katika kufuatilia kwangu naona wanawake wanacheat sana kuliko wanaume sema watu wengi wanajua kama wanaume ndio wanacheat sana,,haionekani kama wanawake ndio wanacheat sana kwa sababu wanawake ni wasiri sana,ninayo mfano,kuna rafiki yangu ni player sana,ametembea na mke wa mtu na hadi leo huyo mke wa mtu bado anampigia simu kutaka warudie waliyoyafanya mara ya kwanza na huwezi amin huyu mama akiwa kwenye familia yake huwez mzania kama sio yeye, ana watoto wanne,yaan ukimuona na mumewe utasema hawa watu wanapendana kweli lkn kumbe huyu na mumewe hata hajui ,mama ni mchafu kweli,sasa nimekuja kugundua kitu wanawake ni rahis kujificha sana kuliko wanaume ndio maana watu wengi wanajua kama wanaume ni macheater sana kulikon wanawake,lkn si kweli wanawake ni wasiri sana ni watu wa chini chini,nyi wadau mnalizungumziaje hili??mdau wenu
 
Mkuu ndo umegundua leo? Kwani wewe hujawahi kulamba mke wa mtu? Kama ulivyosema,ni kweli wake za watu kibao wana cheat left n right.We waone hivo hivo hand in hand na waume zao jumapili,kinachotembea vichwani mwao wanakijua wenyewe.Halafu kwa visingio usicheze na mwanamke,maana ukishamtafuna out of curiousity unamuuliza kwa nini ana cheat....visingizio kibao,mara oh mme wangu ana kisukari,sijui pumu... aisee wakati ukweli ni nye...ge zao tu zinawasumbua hawana lolote.
 
sio kweli. mimi ni mume wa mtu nishabemenda wake za watu watatu. sasa mimi sio mume wa mtu je sija cheat? ukweli ni kwamba wanaume wana cheat kuliko wanawake kwa sababu
1. mwanaume ameumbiwa ile hali ya upoligamy kuliko mwanamke. kwa asili wanaume wengi wanakuwa na vinyumba vidogo ama hit & run kuliko wanawake.
2. kilichofanya wanawake waanze kucheat ni maisha ya sasa ambayo mwanaume anakuwa busy sana kwa hiyo wanaume wengi wa dunia ya sasa hawana uwezo mkubwa wa mapenzi kama wa zamani kwa sababu ya msongo kichwani.
3.wanawake wengi wa sasa wanaiga u-magharibi kujifanya wanatafuta haki kwa hiyo wanaiga na kuwa poligamies.
4. mwanamke anapenda mara moja tu maishani na aliyempenda asipomuoa lazima amgaie bure.
 
aiseee hawa watu hawana kanuni,,nilimulizaga huyu rafiki yangu ni nin kinapelekea hawa kufanya hiv?anasema alishamuulizaga akamwambia hamna sababu,,sasa najiuliza inakuwaje?kwa wanaume navyojua mim sis tumeumbwa na kutamani tukiona namba 8 sura nzuri basi hapo lazima tutamani lkn hawa watu hawana kanuni aisee
 

kwaiyo nyie mkiona namba 8 mkataman ndo MNASEMA MNA SABABU THEN wanawake hawana sababu?
ebu token zenu ni u.ma/laya ule ule akuna sababu juu ya ilo
 
Uongo pembeni, wanawake hawacheat wakisha penda sisi ndo hatuaminiki hata tupende vipi...akitokeza mwanamke mwingine kajipakaa wanja vizuri, au henna imechorwa vizuri, unababaika unatamani ukamchore chini :biggrin:
 
......... unamuuliza kwa nini ana cheat....visingizio kibao,mara oh mme wangu ana kisukari,sijui pumu... aisee wakati ukweli ni nye...ge zao tu zinawasumbua hawana lolote.

ndo nini???
 
Ukisema wako hacheat unajidanganya..kheri uwe iman anacheat ila tu 40 zake bado.
 
Mimi wangu ha-cheat!!! msintie kihoro! nnkashindwa kutoka nae Jpili bure, nkiogopa kuchoreka!
 
Jana nilikuwa ninasoma habari HII HAPA ingawa lilikuwa tangazo la kuuza "uroda" kwa maneno, lakini kuna kipengele kilinifanya nitafakari hiyo sehemu ya hatimlalo chini kabisa:

So there you are on your way home from a long day at work and you can't wait to get home to your wife, who you adore and love with all your heart. You walk in the door and see no sign of her... so you call for her... "Honey I'm home"

No answer...you hear some strange noises coming from the bedroom. You head that way to investigate. As you slowly open the door you can't believe what you are seeing!

There's your wife .... with another man .....thoroughly enjoying it.

Sadly, this is the reality for hundreds if not thousands of men all over the world everyday, and you may be next. But the bigger problem is 99.9% of men who have been cheated on have no idea why she cheated or they have the wrong idea why, and then it happens to them time and time again.

See when a woman cheats on her partner, it's because a "need" in the relationship is not being met. And in almost all cases that "need" is the need is for sexual satisfaction.
 
Wote wanacheat, isipokuwa mwanaume akicheat anaitwa "mkali", mwanamke akicheat anaitwa "Mal..ya"
 
Wanaume wanacheat zaidi maana imeandikwa Ukimwangalia mwamnamke ukamtamani ushazini naye,sasa wangapi amabao hamtamani hapa JF? Wanawake sio hivyo,anashawishiwa na mambo tofauti na sio kuona na kuamsha tamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…