gplus
Member
- Jan 3, 2012
- 14
- 1
Katika kufuatilia kwangu naona wanawake wanacheat sana kuliko wanaume sema watu wengi wanajua kama wanaume ndio wanacheat sana,,haionekani kama wanawake ndio wanacheat sana kwa sababu wanawake ni wasiri sana,ninayo mfano,kuna rafiki yangu ni player sana,ametembea na mke wa mtu na hadi leo huyo mke wa mtu bado anampigia simu kutaka warudie waliyoyafanya mara ya kwanza na huwezi amin huyu mama akiwa kwenye familia yake huwez mzania kama sio yeye, ana watoto wanne,yaan ukimuona na mumewe utasema hawa watu wanapendana kweli lkn kumbe huyu na mumewe hata hajui ,mama ni mchafu kweli,sasa nimekuja kugundua kitu wanawake ni rahis kujificha sana kuliko wanaume ndio maana watu wengi wanajua kama wanaume ni macheater sana kulikon wanawake,lkn si kweli wanawake ni wasiri sana ni watu wa chini chini,nyi wadau mnalizungumziaje hili??mdau wenu