Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe.
Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano anazidi kubadilika hapa wengi wao wanakuwa ni wapenda starehe. [emoji119]
Ningekuwa ni mtu wa starehe huenda ningesema labda basi mtu hupata wa kufanana nae lakini kijana wa watu hata kumbi za starehe mara ya mwisho kukanyaga sijui lini.
Kuna mmoja nilikuwa nae kwa muda mrefu kidogo ila nikaona anabadilikaa mwishoe nikashindwana nae tukaachana sasaivi ni kama kachangudoa flani hili neno changudoa kama nitakuwa nimewakera endeleeni kukerekwa lakini ukweli ndo huo.
Nikapata tena mwingine nae mwanzo alikuwa mstaarabu ila akabadilika vibaya mno saivi ata sijyi yukwapi
Na huyu niliyopo nae saivi namuona kabisa kishaanza kubadilikaa yaani namuonaaa anapoelekea sio kuzuri ...uzuri sisi wanaume tumegewa kipawa cha kuona mbele ya mwanamke.
Sasa sijui nakosea wapi au ukute nimechaguliwa kuteseka kidogo then mke mwema ndo aje eti jamani nisaidieni?