Wanawake wanaharibika mikononi mwangu

Wanawake wanaharibika mikononi mwangu

Kingine ni je, hua unachukua wanawake wenye umri gani? Kama ni early 20s hao lazima waharibike tu hakuna namna. Wanawake wa umri huo hutakiwi kudumu nao zaidi ya miezi kadhaa ili wasiharibikie mikononi mwako. Anza kuchukua wa umri wako i.e. above 30 utaona walivyotulia.
Unamshauri mwenzio anunue gazeti jioni?
 
Unamshauri mwenzio anunue gazeti jioni?
Gazeti la jioni ndiyo zuri. Hakuna kuombwa ombwa na watu eti nao wapitishe macho kwa sababu habari zote zinakuwa zimeshajulikana. Na utafika nalo home likiwa safi halijakunjwa kunjwa hovyo na wagongeaji [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Linakuwa limeshashikwa hukohuko linakouzwa. Btw shikamoo
 
Linakuwa limeshashikwa hukohuko linakouzwa. Btw shikamoo
Marahaba aisee. Hujambo? Za kupotea?

Kununua gazeti asubuhi ndo hovyo kabisa. Mpaka ifike mchana gazeti nyang'anyang'a limeshikwa shikwa na kila mtu...

Kama lengo langu ni kuwa na gazeti safi aisee afadhali nilinunue jioni tu kwa kweli [emoji16]
 
Haha unalinunua unalificha ndani. Mimi sijambo halafu mbona nipo hata sijapotea
 
Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe...

Tukienda kwenye mada husika..ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano anazidi kubadilika hapa wengi wao wanakuwa ni wapenda starehe...[emoji119]
Sasa sijui nakosea wapi au ukute nimechaguliwa kuteseka kidogo then mke mwema ndo aje eti jamani nisaidieni?[emoji1541][emoji1541][emoji1541]shida yako ilianzia hapa

Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe...

USHAURI WANGU! Achana na manjano utapona maradhi yanayokukabili
 
Unamshauri mwenzio anunue gazeti jioni?
Uzuri wa gazeti la jioni kama ni kufubaa linakua limeshafubaa mpaka limechoka so haliwezi kufubaa zaidi ya hapo. Na jamaa kinachomuogopesha ni gazeti kumfubalia mikononi 😀
 
Kwa sababu usha sema wewe ni mtulivu hata viwanja hukumbuki umeenda lini. Na kwa sentence hiyo wewe ni Mr nice guy, au jentromen kama wengi wanavyo sema.

Ni kwamba wanawake Wa sawa hawawataki wanaume kama wewe ...muda mwingine anaweza kujifanyisha mcharuko ili kukutafutia sababu umuache aende ...yaani kifupi bro umepoa sana hauna maajabu.....ndio maana mwanamke ameona bora aendelee kitafuta wanaume wengine kuliko kukurudia wewe.....pole mzee
 
Mkuu hao wanakuwa wameficha makucha sasa ukimuacha tu afanye anayotaka ndio unaanza kuona sura yake.

Nakukumbusha usioe mwanamke kwa kumuonea huruma bali oa mwanamke kama amekidhi staha zote.
 
Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe.

Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano anazidi kubadilika hapa wengi wao wanakuwa ni wapenda
Hao huwa unawaokota barabarani wakiwa tayari Ni yai viza,.sema tabia ya mtu huwa haiwezi kujificha kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu.Kama unata mke bro muombe Mungu atakupa kwa sababu anao mabinti bora wengi sana.Ila ukiendelea kwa style hiyo ya kuokota okota utasumbuka sana
 
Kingine ni je, hua unachukua wanawake wenye umri gani? Kama ni early 20s hao lazima waharibike tu hakuna namna. Wanawake wa umri huo hutakiwi kudumu nao zaidi ya miezi kadhaa ili wasiharibikie mikononi mwako. Anza kuchukua wa umri wako i.e. above 30 utaona walivyotulia.
Yeye ana miaka mingapi hadi aoe mwanamke above 30 mkuu!! Atlist 24😃😃
 
Back
Top Bottom