Unamshauri mwenzio anunue gazeti jioni?Kingine ni je, hua unachukua wanawake wenye umri gani? Kama ni early 20s hao lazima waharibike tu hakuna namna. Wanawake wa umri huo hutakiwi kudumu nao zaidi ya miezi kadhaa ili wasiharibikie mikononi mwako. Anza kuchukua wa umri wako i.e. above 30 utaona walivyotulia.
Gazeti la jioni ndiyo zuri. Hakuna kuombwa ombwa na watu eti nao wapitishe macho kwa sababu habari zote zinakuwa zimeshajulikana. Na utafika nalo home likiwa safi halijakunjwa kunjwa hovyo na wagongeaji [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Unamshauri mwenzio anunue gazeti jioni?
Linakuwa limeshashikwa hukohuko linakouzwa. Btw shikamooGazeti la jioni ndiyo zuri. Hakuna kuombwa ombwa na watu eti nao wapitishe macho kwa sababu habari zote zinakuwa zimeshajulikana. Na utafika nalo home likiwa safi halijakunjwa kunjwa hovyo na wagongeaji [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Marahaba aisee. Hujambo? Za kupotea?Linakuwa limeshashikwa hukohuko linakouzwa. Btw shikamoo
Haha unalinunua unalificha ndani. Mimi sijambo halafu mbona nipo hata sijapoteaMarahaba aisee. Hujambo? Za kupotea?
Kununua gazeti asubuhi ndo hovyo kabisa. Mpaka ifike mchana gazeti nyang'anyang'a limeshikwa shikwa na kila mtu...
Kama lengo langu ni kuwa na gazeti safi aisee afadhali nilinunue jioni tu kwa kweli [emoji16]
Aisee sijakuona nina miezi. Cha muhimu tu uko salamaHaha unalinunua unalificha ndani. Mimi sijambo halafu mbona nipo hata sijapotea
Sasa sijui nakosea wapi au ukute nimechaguliwa kuteseka kidogo then mke mwema ndo aje eti jamani nisaidieni?[emoji1541][emoji1541][emoji1541]shida yako ilianzia hapaHabari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe...
Tukienda kwenye mada husika..ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano anazidi kubadilika hapa wengi wao wanakuwa ni wapenda starehe...[emoji119]
Uzuri wa gazeti la jioni kama ni kufubaa linakua limeshafubaa mpaka limechoka so haliwezi kufubaa zaidi ya hapo. Na jamaa kinachomuogopesha ni gazeti kumfubalia mikononi πUnamshauri mwenzio anunue gazeti jioni?
Hao huwa unawaokota barabarani wakiwa tayari Ni yai viza,.sema tabia ya mtu huwa haiwezi kujificha kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu.Kama unata mke bro muombe Mungu atakupa kwa sababu anao mabinti bora wengi sana.Ila ukiendelea kwa style hiyo ya kuokota okota utasumbuka sanaHabari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe.
Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano anazidi kubadilika hapa wengi wao wanakuwa ni wapenda
Yeye ana miaka mingapi hadi aoe mwanamke above 30 mkuu!! Atlist 24ππKingine ni je, hua unachukua wanawake wenye umri gani? Kama ni early 20s hao lazima waharibike tu hakuna namna. Wanawake wa umri huo hutakiwi kudumu nao zaidi ya miezi kadhaa ili wasiharibikie mikononi mwako. Anza kuchukua wa umri wako i.e. above 30 utaona walivyotulia.