Wanawake wanahitaji mwanaume anayewapa uhuru.

Wanawake wanahitaji mwanaume anayewapa uhuru.

Haya mambo hayahitaji kupekuana, for sure unaweza pata kifafa ghafla. Tuombe Mungu atupe neema.
 
Edson, ni kweli hiyo au ndizo hadithi za Abunuwasi au za Alfu Lela Ulela????
 
Edsoooooooooooon! Hiyo software mi naitaka!!
 
Mimi huwa kila kitu akisema/akitaka kufanya wala simpingi,basi sasa anasema simpendi eti kwa nini hata sihoji!....na hapo ndio nashindwa kuelewa kabisaaaaaaaaaa.

true true!
 
Edson, ni kweli hiyo au ndizo hadithi za Abunuwasi au za Alfu Lela Ulela????

kwa kawaida huwa sina histori ya kuandika kitu nisichhokijua na ndio maana hapo juu nikasema NAOMBA nitoe ushuhuda.....
 
Back
Top Bottom