mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 223
hakuna mtu anataka mimba loh!
hongera sana ndugu yangu,nakutakia kila la kheri.inawezekana mwanzoni labda ulinuna kidogo kwa 'kuwahishwa',hope mnuno umekwisha sasa.kina dada wajanja sana siku hizi. akiona una mwelekeo wa kuoa na huku una sogeza kalenda, anaamua kukuachia ili aharakishe Ndoa. mimi
yalinikuta hayo.. na kweli sikuwa na namna ilibidi nitangaze ndoa haraka kabla kitambi hakijapata umaarufu.. nilifnya sherehe ndogo na ya maandalizi mwezi mmoja. namshuru sana mke wangu kwa ajili hiyo. sikua tayari kuoa mapema.. pia nashukuru sana alikua mwelewa hakutaka makuu tulifanya harusi ya garama ndogo haikusumbua watu kwa michango. bora ndoa harusi mapambo tu. mungu akitujalia uhai mwaka ujao tatatimiza miaka sita ya Ndoa na kwa uweza wa Mungu tutakua na mtoto wa pili pia.
Kama hutaki mimba unataka nini? Na kama kweli hutaki mimba mpe tiGO atoboe huo mfuko wa mbolea......hapo hutopata mimba kamwe.
Mwanamume mzinifu hamwoi ilaLimeibuka wimbi la ndoa kufungwa huku wanawake wakiwa na mimba, je wanawake wanpenda ku do kabla ya ndoa au wanafata mkumbo wa wanaume.kama wanapenda why.
Huna adabu wala aibu! Mpuuzi
Kama hutaki mimba unataka nini? Na kama kweli hutaki mimba mpe tiGO atoboe huo mfuko wa mbolea......hapo hutopata mimba kamwe.