Wanawake wanaipenda hii?

Wanawake wanaipenda hii?

Lazima u test manake manake unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia wengine hawazai sababu ya kutoa mimba kwa sana hivyo inakulazimu kumjaza mapema. Na kwa kuongezea wengi wao wanapenda kuliwa tiGO pia.
 
kina dada wajanja sana siku hizi. akiona una mwelekeo wa kuoa na huku una sogeza kalenda, anaamua kukuachia ili aharakishe Ndoa. mimi

yalinikuta hayo.. na kweli sikuwa na namna ilibidi nitangaze ndoa haraka kabla kitambi hakijapata umaarufu.. nilifnya sherehe ndogo na ya maandalizi mwezi mmoja. namshuru sana mke wangu kwa ajili hiyo. sikua tayari kuoa mapema.. pia nashukuru sana alikua mwelewa hakutaka makuu tulifanya harusi ya garama ndogo haikusumbua watu kwa michango. bora ndoa harusi mapambo tu. mungu akitujalia uhai mwaka ujao tatatimiza miaka sita ya Ndoa na kwa uweza wa Mungu tutakua na mtoto wa pili pia.
hongera sana ndugu yangu,nakutakia kila la kheri.inawezekana mwanzoni labda ulinuna kidogo kwa 'kuwahishwa',hope mnuno umekwisha sasa.
 
Laiti wanaume wangekua na subira...historia inaonesha katika mchakato mzima wa mambo ya mapenzi na mahusiano wanawake ndio wako kwenye risk zaidi, na hii inatokea kutokana na ukweli kwamba msimamo wa binti unategemea sana wa mwanaume...once mwanaume akiwa committed kwamba 'tusubir' kweli inawezekana,beside akiamua 'tufanye' ,karesistance kidogo katakuepo mwanzoni lakin mwishowe mnadump kwenye hizo nstuffs...Hii maada ni pana lakini yatosha tu kusema wanaume ndio wanapaswa kua kiini cha mabadiliko!
 
Wanaume mkiwacha kuwaoa japo wajawazito, wataacha
 
Si kweli wanaume wanapenda ku do kabla ya ndoa! Mi mwenyewe sipendi na siungi mkono suala la ngono kabla ya ndoa! Haina tija kbsaa watu wanapenda ngono sana, subiri umuoe cha msingi usiufanye UCHUMBA mda mrefu ili kuondoa risk hii
 
Limeibuka wimbi la ndoa kufungwa huku wanawake wakiwa na mimba, je wanawake wanpenda ku do kabla ya ndoa au wanafata mkumbo wa wanaume.kama wanapenda why.
Mwanamume mzinifu hamwoi ila
mwanamke mzinifu au mwanamke
mshirikina. Na mwanamke mzinifu
haolewi ila na mwanamume mzinifu
au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini. (Qur-an 24:4).... Nafikiri hili ndo jibu sahihi mzee.
 
Huna adabu wala aibu! Mpuuzi

Safi sana mkuu!!! Watu siku hizi wanatukuza vilivyo haramu tena bila haya wanaona ni kawaida! Ipo siku watalia na kusaga meno watakapowaona vizazi vyao wanafanya huo upuuzi!! Simuombei mtu mabaya, ila inaudhi na inasikitisha pia!
 
Kama hutaki mimba unataka nini? Na kama kweli hutaki mimba mpe tiGO atoboe huo mfuko wa mbolea......hapo hutopata mimba kamwe.

Hivi unafamilia kweli wewe? Na wanao utakuja kuwahubiria haya au unaharibu tu vizazi vya wenzako?? Inasikitisha kuona akili ya mtu mzima imejaa matobo!! SHAME ON YOU mzee wa njaa!!!!!
 
hivi uzinzi ni katika amri ya ngapi ya mungu??????gauni jeupe ni kwa mwanamke ambaye hajavunja amri hiyo lakini siku hizi watu wanatumia kigezo cha kubeba mimba ili kufunga ndoa manake mwanaume ukishaambiwa nina mimba na familia ya msichana wataleta kasheshe yaani kutakuwa na issues nyingi so mwanaume huna budi kuoa tuu hata kama ulikuwa huna mpango huo come on kwa baadhi ya wanawake wanaotumia njia hiyo ili waolewe kirahisi wajue kama wanajidhalilisha tuu kwani kila mtu anajua kama ulivunja amri kabla ya wakati wake...
 
hivi uzinzi ni katika amri ya ngapi ya mungu??????gauni jeupe ni kwa mwanamke ambaye hajavunja amri hiyo lakini siku hizi watu wanatumia kigezo cha kubeba mimba ili kufunga ndoa manake mwanaume ukishaambiwa nina mimba na familia ya msichana wataleta kasheshe  yaani kutakuwa na issues nyingi so mwanaume huna budi kuoa tuu hata kama ulikuwa huna mpango huo come on kwa baadhi ya wanawake wanaotumia njia hiyo ili waolewe kirahisi wajue kama wanajidhalilisha tuu kwani kila mtu anajua kama ulivunja amri kabla ya wakati wake...
 
mzee..wa..**..aa!! Fikiri kabla kuandika.
Ushauri tu!
 
dhana ya kutest hutokea kwa watu wachache sana ila walio wengi hujikuta mahesabu yamekuwa wrong na bint kupata ujauzito ila swala na ndoa linakuja baada ya kuona kuwa si vyema jamii ikiwaona kuwa wamepata mtoto nje ya ndoa na hivyo kuharakisha hatua za kufunga ndoa haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom