Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Hakuna Cha kumalizana uchumba mkuu,ukipata fake ni fake tu....bomu ni bomu tuMatokeo yake ni kujaza JF na nyuzi za kuomba ushauri wa mambo ambayo wangemalizana nayo kipindi cha uchumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Cha kumalizana uchumba mkuu,ukipata fake ni fake tu....bomu ni bomu tuMatokeo yake ni kujaza JF na nyuzi za kuomba ushauri wa mambo ambayo wangemalizana nayo kipindi cha uchumba
VizuriHakuna Cha kumalizana uchumba mkuu,ukipata fake ni fake tu....bomu ni bomu tu
[emoji3][emoji3][emoji3] ni utapeli kwa kweliMdada alianza ngono Miaka 15 iliyopita lakini Mimi leo nikimuomba mzigo anasema nimuoe kwanza utadhani ni kigoli
Inashangaza sanaMdada alianza ngono Miaka 15 iliyopita lakini Mimi leo nikimuomba mzigo anasema nimuoe kwanza utadhani ni kigoli
ShidaHawa wanawake wanaopenda harusi kuliko ndoa ndio uoe? [emoji848]
Imekula kwako