Kuna wanawake wakikulilia mwenyewe unazima zako, utatamani wawe wanalia kila marakudeka inaenda na kushawishi hivi....sauti laini..tabasamu kubwa hivi..
Kero ni kupandisha sauti au kujiliza bila sababu...
Mwanamke lake deko bibi!
hakuna raha duniani kama kupata mwanaume anayejua ku pay attention kwa mkewe (sipendi kutumia neno kudekeza kwani ni broader na lina connotation mbaya). Tena wanaume wa hivyo hawajali mko kwenye kadamnasi au mko faragha wanaona fahari ku act as real men kwa wenza wao. Acha tu.
Mkiwa baa anavuta kiti for you.
Anafungua mlango upite kwanza.
Anakusevia chakula.
Anakuuliza kama umechoka.
Ila wengi wa hivyo nasikitika kuwa ni wazinzi maana wanawake wengi wanawapenda.
kuna wanawake wakikulilia mwenyewe unazima zako, utatamani wawe wanalia kila mara
lol...haya bana
Hah bht wajua huwa tunakosa mengi sana tukijifanya kuwa ngangari!! .mtu unajua mwanao hajapata nguo ya sikukuu, badala ya kukoroma: Hivi we baba flani nakushangaa sana, mwanao hana hata boxer, we unaniuliza unipeleke wapi mie sikukuu..............we mdekee tu bana uone.......piga kitu cha....Mpenzi nashukuru unavyonijali jamani najua unanipenda ila kuna kajisehemu moyoni mwangu kameingia ukungu kidoooooogo ,,,,,,,kisha waliangush abibi wewe jilio la haja ati........... akubembeleza na kukudadisi ndo inakutoka.......... ungemnunulia Junior japo kijishati (hapa unaongezea suruali ntamvesha ile ile ya mwaka juzi- bado inamtosha) uone kama hajatoka usiku huo huo akamtafutie suti LOL
Jamani nlikuwepio................mlale salama mnaolala,
khaaa...usiku mwema bidada...lol! kesho utaidadavua hii, leo nakuacha tu
Bibi wewe hebu niache kwa usalama aah...............wao wamejaaliwa misuli waitumie kushinda, sie sauti, macho na skills za kudeka bwana ah,
psngianeni zamu..lolmie mbona ndo nna kazi ya kudekeza! bora mmenistua nianze na mie kudeka,lol
manake nafua hadi nanilii,napika, namlisha,namuogesha eh! list ndefu kwa kweli. mjini shule,ngoja nianze sasa hivi...

Kuna wakati mwanaume anakuwa na kazi nyingi sana, au anatumia muda wake mwingi kwenye kujisomea, hata pale mwanamke anapoonyesha kwamba anahitaji kuwa naye kwa muda fulani.

Kuna wakati pia mwanaume anaweza kuonesha kwamba anajali zaidi kazi zake kuliko mambo mengine ambayo mkewe anayataka na kuyaona ya maana.

Kwa mfano, kama mwanamke anataka kufanya jambo fulani ambalo inabidi mwanaume amsaidie inapotokea mwanaume kuonyesha kwamba hajali sana juu ya jambo hilo, bila kujali kama inawezekana au haiwezekani, mwanamke huanza kuhisi kutoneshwa. Pale mwanaume anapokaa na mkewe na kujadili juu ya jambo hilo na kuonesha uzingativu, hata kama hatalifanya mwanamke hujihisi vizuri zaidi.

Kuna wakati mwanaume anaweza kumwambia mwanamke moja kwa moja, "yaani niache kazi zangu nikae kukusikiliza wewe….wewe subiri nikipata nafasi tutaongea mambo hayo".

Kauli kama hizi huwa ni sumu kali sana katika uhusiano. Wanaume wengi husema au kutojali kuhusu utashi wa kihisia wa wanawake kwa kuamini kwamba wanawake wanachojali ni kupewa fedha au mali basi. Kwa hiyo, wanahalalisha kazi kuwa kitu muhimu kuliko mahitaji ya kihisia na hata kimwili ya wake au wapenzi wao.

Ukweli ni kwamba wanawake kimaumbile huhitaji sana kuona mume au mpenzi anawaona kuwa wao ni maalum na hawawezi kulinganishwa na kitu kingine. Kumuonyesha mwanamke kwamba yeye hana thamani kubwa kuliko kazi au shughuli nyingine ya mwanaume ni kosa kubwa ajabu.