Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Siku moja moja hua naona skull yako na yangu zinafanana (brain)Umejaribu kupiga nyeto ukaona mambo hayaendi?
Mkuu umeongea bonge la point sana.Habar wanajamvi
Natumai mkopoa sana kwa mimi ni buheli wa afya mungu anasaidia bado tunagangamala niende straight kwenye mada kuna baadhi ya wanawake wanakuwaga na nyota kwa waumezao tu chukulie mfano mimi mwenyewe kuna mwanamke nilimtongoza kusema kweli tokea nimtongoze mambo yangu yanaenda vizur kabisa sasa nikido naye sijui mambo yataendaje kwa ufupi tu namwona ananifaa sana aisee ila sasa upate mwanamke mwenye nyota mbaya utaona dunia chungu mikosi haiishi matatizo kila uchao swali ni je kila mwanamke ananyota na mpenzi wake ?
Ray van boy kuna uzi uliutoa eti kunamtu unampenda humu jf vip ulimpata ?Mkuu umeongea bonge la point sana.
Mm mwaka 2017 umekua wa baraka kwangu baada ya kukutana na bibie mmoja. Yaani kila kitu vhangu kina enda vizuri
Mkuu umesoma uzi vzr na umeuelewa nachomaanisha ?Umejaribu kupiga nyeto ukaona mambo hayaendi?
Hapana mkuu sijampata kabisa nabakia kumeza mate tu kama mwanaume aliyeona mapaja ya bintiRay van boy kuna uzi uliutoa eti kunamtu unampenda humu jf vip ulimpata ?
Ytani tu mkuu don't mind broMkuu umesoma uzi vzr na umeuelewa nachomaanisha ?
Duuh ila kweli mkuuMke mwenye baraka ni yule mliyefunga naye ndoa na siyo kufanya uzinzi ukafikiri utapata kismati. Kama ukifanya hivyo ni sawa na kumtumia mwanamke kama hirizi
Mtu akiisoma thread yako yote kama ulivyoiandika akitoka hapo anahema kama katoka kukimbizwa....Habar wanajamvi
Natumai mkopoa sana kwa mimi ni buheli wa afya mungu anasaidia bado tunagangamala niende straight kwenye mada kuna baadhi ya wanawake wanakuwaga na nyota kwa waumezao tu chukulie mfano mimi mwenyewe kuna mwanamke nilimtongoza kusema kweli tokea nimtongoze mambo yangu yanaenda vizur kabisa sasa nikido naye sijui mambo yataendaje kwa ufupi tu namwona ananifaa sana aisee ila sasa upate mwanamke mwenye nyota mbaya utaona dunia chungu mikosi haiishi matatizo kila uchao swali ni je kila mwanamke ananyota na mpenzi wake ?
Imeshanitokea hili...yaan Rukia alikuwa na nyota kali sana ,pesa kwangu ilikuwa haikatiki..ila tuliachanaMkuu umeongea bonge la point sana.
Mm mwaka 2017 umekua wa baraka kwangu baada ya kukutana na bibie mmoja. Yaani kila kitu vhangu kina enda vizuri
Asa kwann ulimuacha nakati unajua kabisa huyu ananyota ya pesaImeshanitokea hili...yaan Rukia alikuwa na nyota kali sana ,pesa kwangu ilikuwa haikatiki..ila tuliachana
Sawa mkuu nashukuru ukweli kama wako wanausemaga wachacheMtu akiisoma thread yako yote kama ulivyoiandika akitoka hapo anahema kama katoka kukimbizwa....
Point yangu ni jifunze alama za uandishi
Ahsante kwa ushauri joanah,kwa sisi wengine ambao umri umeenda sana,hadi blood pressure inapanda kwa jinsi ninavyoisoma mada pasi na koma wala kituo.Kuna haja ya kuwa na jukwaa la mwandiko.Mtu akiisoma thread yako yote kama ulivyoiandika akitoka hapo anahema kama katoka kukimbizwa....
Point yangu ni jifunze alama za uandishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aina shida mkuu nitajirekebishaAhsante kwa ushauri joanah,kwa sisi wengine ambao umri umeenda sana,hadi blood pressure inapanda kwa jinsi ninavyoisoma mada pasi na koma wala kituo.Kuna haja ya kuwa na jukwaa la mwandiko.