Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Namm naamini wanawake mkikutanisha nyota aisee utafaidi sana mambo yananyoka tu. Yaani mm hela haikatiki kwangu daaahImeshanitokea hili...yaan Rukia alikuwa na nyota kali sana ,pesa kwangu ilikuwa haikatiki..ila tuliachana