Wanawake wananiogopa!!

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
2,694
Reaction score
1,249
Wandugu,
Mwanzoni wakati nikiwa sekondari(o levo) ndo tatizo lilipoanza......wanaogopa sana mazoea na mimi...sikujali sana make sikuichukulia serious.......
Nikaja advance,bahati nzuri nilisoma boys....moja maarufu iliyopo mkoani iringa,kulikuwa na mtindo wa kuwaleta watoto wa kike kucheza disco siku za graduation.....pale washkaj wakawa wanapata videmu na kuni introduce....cha kushangaza after a period of tyme....naambiwa....ooya...shemej yako anasema anatamani akuzoee lakini anakuogopa.hata yeye anasema hajui ni kwa nini......(hapo hata mimi nina mpenzi,ambaye nae pia anawaambia washkaj kwamba ananiogopa ogopa hivi........
Nilipofika university ndo balaa sasa,madada hawana mazoea kabisa na mimi....nilipojaribu kupeleleza,nikaamiwa wanasema huzoeleki kaka!!!
Huwa hainiumizi hata kidogo wakuu,,,.....lakini nikipiga picha maisha yanayokuja ni kuishi na majirani....hawa viumbe sijui wanachoniogopea ni kitu gani......sometimes inaumiza kichwa kidogo lakini......
Naogapa hata kuintroduce kabila langu kwa washkaj....make nahisi wakijua ndo hata salam sitopata tena jamani


NB:Sina sura ya kutisha,nipo fresh tu na hata kumpata mwanadada kwangu sio taabu hata kidogo....

Kama kuna wataalamu wa hii mambo....
naomba anishauri kwa kina ili niishi kwa amani huku chini ya jua.....kuzoeana na hawa watu kuna umuhimu wake mjue...

thanks wakuu........
Nawasilisha kwa majadiliano na ushauri!!

The Magnificient..
 
Hehehee, mkuu unatokea mkoa maarufu kwa kutoa askari nini? Maana inawezekana huna lugha inayoanza na tafadhari wewe umezoea lugha ya fanya!!! Nafikiri hapo kuna haja ya kujaribu kurekebisha lugha yako hasa, jifunze namna ya kubembeleza.
 
Hebu tuambie unafahamu chombo cha kusafishia kinywa kiitwacho mswaki? Je unaahusiano gani na chombo hicho?

Nipo smart sana mkuu,sijisifu.... sijawahi hata kuambiwa nanuk kinywa.....(hata kusikia tetesi tu)
kwa hilo mkuu,ondoa shaka..
Ila nimekukubali,wewe ni great thinker!!
 
Hehehee, mkuu unatokea mkoa maarufu kwa kutoa askari nini? Maana inawezekana huna lugha inayoanza na tafadhari wewe umezoea lugha ya fanya!!! Nafikiri hapo kuna haja ya kujaribu kurekebisha lugha yako hasa, jifunze namna ya kubembeleza.


mkuu,nina lugha nzuri tu,,,,,,,kama ningekuwa na lugha ya uttat utata,wangekuwa washnistukia,me nahisi ni nature tu..
 
ukicheki avatar ya nitonye sura yako na ile ya nitonye ipi nzuri zaidi?

ukicheki jinsi Rais anavyotabasamu nawe unajaribujaribu kutabasamu muda mwingi au muda wote sura kama unafungua soda kwa meno?

ukicheki lugha yako unayotumia kwa wadada ni kama jack ktk titanic au kama lusinde arumeru?

hayo ndio maeneo makuu ma 3 yanayoondoa attention ya wadada kwa wanaume!
 
Remmy Ongala hawakumuogopa hata Mike Tyson au Samson wa Delilah. Km sio sura basi wanawake wanaogopa liSox lazima kuanzia O level, A level na Chuo mlioga bafu la jumla wanawaambia wanawake wenu
 
Labda uko stiff in personality serious look on your face all the time husmile hucheki straight face....loosen up a little relaaaax halafu utaona mabadiliko.
 
Wewe Ni magnificent man... I mean you have more than normal .. An extravagant person.. Kuna uzaidi Wa kitu ambacho unacho.. Au kizuri sana kilichopitiliza au kibaya kilichopitiliza na kuwa kero.. Nadhani pia jibu unaweza kuwa nalo ila ukawa hutaki kukubaliana nalo.. Kwamba marafiki wako Wa karibu wanaweza Kwa vipindi tofauti kukwambia Mbona wewe uko hivi??!! Mfano " Mbona una kiherehere" "Mbona unajifanya much know". " Mbona mbishi hivi" "usijifanye huoni" Nk.. Embu. Chunguza frends zako what they talk about you nafikiri jibu utapata.. Ciao!!
 
Hahahahahaha ohhh Boy ..
Magnificent, I'm truly sorry for what your going through ..

Probably, there is nothing wrong with you ..

Anyway ..
I can't stop laughing at the moment ..

Majibu uliyopewa hapo juu Dahhh nimecheka kupita kiasi. Kama vile nasoma gazeti la sani.

Pole sana.
 
Hii imenipa raha, mie naona nikusaidiE kitu kimoja, Wadada huwa wanawaogopa watu wenye wasifu ufuataO:


  1. Wachafu - wasiooga, kupiga mswaki kama mdau alivyosema hapo juu.
  2. Wasio watanashati - li mtu linavaa vaa nguo tu bila kuangalia mazingira na mahali.
  3. Mijitu Mikatili - sio miungwana wala mitulivu.
  4. Viherehere na ujuaji usiokuwa na maana, wewe unajua kila kitu?
  5. Mianaume isiyojali na kupiga piga sound kila mara.

Wanawake ni waungwana sana I can say, most of them, wanaweza kuwa na shida nyingi, but there is something good about their judgement, sasa mzee angalia hiyo list hapo juu na UJIREKEBISHE KAMA WATAKA enjoy Maisha, UKISHAKUWA NA KILA kitu, furaha yaletwa na familia na mke MZURI, acha kushabikia UJINGA.
 
Umetoka na binti kwa mara ya kwanza, umebeba washkaji zako kama wanne, halafu mnataka binti awalipie... Kudadadeki.....NENO HILI KUDADADEKI LINAWAJIA KWA HISANI YA KIBAJAJI LUSINDE
 
Unakaa wapi? Nataka na mimi nione kama ntakuwa naogopa kukuzoea! Teh teh!
 
Pole sn,naungana na Kongosho hapo mwanzon,usirias na story au maongezi yako yanaweza kufanya watu wakuogope au wataman kuwa na kampan yako na kukuzoea na hata kuongea nawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…