Wandugu,
Mwanzoni wakati nikiwa sekondari(o levo) ndo tatizo lilipoanza......wanaogopa sana mazoea na mimi...sikujali sana make sikuichukulia serious.......
Nikaja advance,bahati nzuri nilisoma boys....moja maarufu iliyopo mkoani iringa,kulikuwa na mtindo wa kuwaleta watoto wa kike kucheza disco siku za graduation.....pale washkaj wakawa wanapata videmu na kuni introduce....cha kushangaza after a period of tyme....naambiwa....ooya...shemej yako anasema anatamani akuzoee lakini anakuogopa.hata yeye anasema hajui ni kwa nini......(hapo hata mimi nina mpenzi,ambaye nae pia anawaambia washkaj kwamba ananiogopa ogopa hivi........
Nilipofika university ndo balaa sasa,madada hawana mazoea kabisa na mimi....nilipojaribu kupeleleza,nikaamiwa wanasema huzoeleki kaka!!!
Huwa hainiumizi hata kidogo wakuu,,,.....lakini nikipiga picha maisha yanayokuja ni kuishi na majirani....hawa viumbe sijui wanachoniogopea ni kitu gani......sometimes inaumiza kichwa kidogo lakini......
Naogapa hata kuintroduce kabila langu kwa washkaj....make nahisi wakijua ndo hata salam sitopata tena jamani
NB:Sina sura ya kutisha,nipo fresh tu na hata kumpata mwanadada kwangu sio taabu hata kidogo....
Kama kuna wataalamu wa hii mambo....
naomba anishauri kwa kina ili niishi kwa amani huku chini ya jua.....kuzoeana na hawa watu kuna umuhimu wake mjue...
thanks wakuu........
Nawasilisha kwa majadiliano na ushauri!!
The Magnificient..