Wanawake wananipa tabu sana

Mapenzi yamekuwa kwenye miili zaidi.Sikuhizi thamani hasa ya mapenzi na maana ya mapenzi inapotea.Vijana tunawaza ngono sana yaani matamanio ya kimwili.
 
Mkuu chakula ccha sasa na cha zamani viko tifaut sasa iv chips nyingi, mayai ya kichina, cone, [emoji509], baga, soseji, sembe, vidonge na madawa ya uzazi wa mpango nk.
 
Akili fupi sana hizi kwa hiyo wewe ulomvua haraka huna shida? Yaani mkutane kwenye daladala mvuane jioni ukipandisha suruali ukaweka bando uje jf kuwalalamikia wanawake?
Yaani huyu jamaa buana kasaidiwa apunguze uzito lakin anakuja kuwatangaza humu jf wakimkatalia aseme wanawake wamwzidu ugumu we unadhanj kila mtu anaweza kuongoza sana wengine ni domo zege acha kuwahalibia kausha kabisa mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume na Sisi tumezid tukizungushwa shida..ukipata voda fasta nayo unalalamika!!dunia imebadilika chief mambo ya kuzungushana wap na wap hata umri WA kuishi unazid kuporomoka huoni..
Umeona eee
 
Ajabu nyingine ni kwamba waliokuwa wakichukua miaka mingi kukubali walidumu katika mahusiano kwa mda mrefu.

Siku hizi tunakubaliana haraka na kusambaratika haraka.

By the way cha kuheshimu hapo ni nyakati kama ulivyodokezea kuwa kila nyakati na vijimambo vyake.

Of course hata mimi pia sipendi kuzungushwa sana wala kukubaliwa haraka yaan sio nimetuma msg mbili ya tatu nakubaliwa.

Nisumbue kidogo ili nizidi kuvutiwa na wewe.....kitu chochote (hasa kizuri ) ukikipata kiurahisi rahisi kinapungua thamani,unashtuka na kuanza kujiuliza maswali kede kede kama; kitakuwa kizima kweli hiki?
 
Basi ngoja huyu wangu nimsumbue mpaka uchaguzi ujao ndio nimkubalie,.oh yeaa😌😌
 
Mapenzi yamekuwa kwenye miili zaidi.Sikuhizi thamani hasa ya mapenzi na maana ya mapenzi inapotea.Vijana tunawaza ngono sana yaani matamanio ya kimwili.
Nimekuelewa mkuu,yawezekana pia hii ndio sababu kubwa ya watu kutendana na ndio maana nyimbo nyingi zinahusu mapenzi na nyimbo hizohizo nyingi ni za kulia lia kuhusu kutendwa mfano ..nalivua pendo nililopenda zamani..nimemsahau jina.
...hongera kwa kuuchukua usingizi waaangu.... Baraka da Prince
....sababu ya ulofa...Top c
.....waache waoane...Chege

Tofauti na zamani nyimbo nyingi zilihusu maendeleo,kusifia nchi,mahusiano nk nk.
 
Basi ngoja huyu wangu nimsumbue mpaka uchaguzi ujao ndio nimkubalie,.oh yeaa😌😌
Uchaguzi upi mkuu ule wa Serengeti kwa mbunge wa chadema aliyehamia sisiemu? Kama ni huo sawa.

Ila kama unazungumzia huu wa 2020 acha tu nigune mmmh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…