Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu chakula ccha sasa na cha zamani viko tifaut sasa iv chips nyingi, mayai ya kichina, cone, [emoji509], baga, soseji, sembe, vidonge na madawa ya uzazi wa mpango nk.Wakuu habari za asubuhi,
Iko hivi,wanawake karibu wote,narudia,karibu wote wamekuwa warahisi mno kutuvulia vyupi (na wengi wao pia huvua wenyewe) yaani kwa mfano umepanda daladala ukamtokea mwanamke kituo kinachofuta ( hata kama hakupanga kushuka hapo) mtashuka na kwenda kupiga show ( easy come easy go).
Watu wanasema ooh wanawake wa siku hizi ndio zao lakini wanawake wa zamani ulikuwa unatongoza miaka miwili hadi mitatu ndio unakubaliwa,sawa lakini kinachonishangaza na kunipa tabu ni kwamba wanawake walewale waliokuwa wakitongozwa kwa miaka zaidi ya mwaka mmoja ndio miongoni mwa wanaokubali kirahisi na baadhi yao hawasubiri kutongozwa bali wanatongoza( hapa nazungumzia wamama watu wazima ambao bado wanafukuzana na wajukuu na mabinti zao kugombania mishedede.)
Kama mwanzo mlikuwa mnakomaa miaka na miaka mlikuwa mnakula chakula gani na leo hii mnakula kipi kinachowafanya msikomae kama zamani?
Yaani huyu jamaa buana kasaidiwa apunguze uzito lakin anakuja kuwatangaza humu jf wakimkatalia aseme wanawake wamwzidu ugumu we unadhanj kila mtu anaweza kuongoza sana wengine ni domo zege acha kuwahalibia kausha kabisa mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili fupi sana hizi kwa hiyo wewe ulomvua haraka huna shida? Yaani mkutane kwenye daladala mvuane jioni ukipandisha suruali ukaweka bando uje jf kuwalalamikia wanawake?
Umeona eeeWanaume na Sisi tumezid tukizungushwa shida..ukipata voda fasta nayo unalalamika!!dunia imebadilika chief mambo ya kuzungushana wap na wap hata umri WA kuishi unazid kuporomoka huoni..
Ajabu nyingine ni kwamba waliokuwa wakichukua miaka mingi kukubali walidumu katika mahusiano kwa mda mrefu.Me nadhani kuzungushana saaaaana kama unachimba madini sio ishu kwa nyakati hizi,.muda umekuwa mchache sana halafu mambo ya kutekeleza ni mengi mno in short muda haututoshi...sasa mkianza kuzungushana mwaka,miaka miwili halafu mkija kukubaliana hata mwezi hamdumu ndio nn kama si upotevu wa nguvu na muda,.mm nadhani iwe hivi;mtu ukijiona una uhitaji kwa wakati huo tafuta huna uhitaji kaa chonjo fanya mambo mengine tuu na ukiona unazungushwa au unazunguka saana kutafuta inabidi ujitafakari kwa maana "kila jambo na wakati wake na majira yake chini ya jua" sio kila wakati ndio ndio wenyewe!!!
Basi ngoja huyu wangu nimsumbue mpaka uchaguzi ujao ndio nimkubalie,.oh yeaa😌😌Ajabu nyingine ni kwamba waliokuwa wakichukua miaka mingi kukubali walidumu katika mahusiano kwa mda mrefu.
Siku hizi tunakubaliana haraka na kusambaratika haraka.
By the way cha kuheshimu hapo ni nyakati kama ulivyodokezea kuwa kila nyakati na vijimambo vyake.
Of course hata mimi pia sipendi kuzungushwa sana wala kukubaliwa haraka yaan sio nimetuma msg mbili ya tatu nakubaliwa.
Nisumbue kidogo ili nizidi kuvutiwa na wewe.....kitu chochote (hasa kizuri ) ukikipata kiurahisi rahisi kinapungua thamani,unashtuka na kuanza kujiuliza maswali kede kede kama; kitakuwa kizima kweli hiki?
Nimekuelewa mkuu,yawezekana pia hii ndio sababu kubwa ya watu kutendana na ndio maana nyimbo nyingi zinahusu mapenzi na nyimbo hizohizo nyingi ni za kulia lia kuhusu kutendwa mfano ..nalivua pendo nililopenda zamani..nimemsahau jina.Mapenzi yamekuwa kwenye miili zaidi.Sikuhizi thamani hasa ya mapenzi na maana ya mapenzi inapotea.Vijana tunawaza ngono sana yaani matamanio ya kimwili.