Wanawake wananipenda kwa sababu sijatahiriwa

Watahiriwe uhondo upungue?
Ndio maana kila kabila linalojidai liko kizungu zaidi hawatahiri
Na kila kabila lililotembelewa na waarabu nao hutahiriwa . Kazi kweli sasa sisi weusi asili yetu ni nini.
 
swali kwako bujibuji,mdada ukishamgegeda huwa anataka kurudi kwako tena au wanaokusumbua ni wapya tu?
 
Bujibuji angalia tusije kukupoteza mkuu! kuna mkoa nimepewa taarifa juzijuzi kuwa watu wenye mikono ya sweta wanahitajika sana tena kwa udi na uvumba kwa ajili ya maswala ya kuletea watu utajiri,wanachohitaji ni hiyo kitu yako,mi nimeshtuka nilipoona unapata mialiko mingi nikagundua kuwa upo hatarini kutoweka,so be careful!:ballchain:
 
lakini,bujibuji kwa ugegedaji wa aina hiyo...usije ukakimbia vipimo.....
 

Govi si linasugua vizuri kisi.mi ila hapo kupata ngoma nje nje.
 
Male circumcision is proven to confer 60% protective effect in reducing risk of female-to-male HIV transmission! Bujibuji for NOT being circumcised you are more at risk than other circumcised men! Take care my brother!
 
Last edited by a moderator:
wacha bwana!!!!....mbona kampeni za kuvua mkono sweta zinavyoendelea hamzipingi? au mnataka wabaki wachache muwe mnawagombania?

Mi nachukia sana hizo kampeni za kukata mikono,
inatakiwa wanawake tuulizwe kwanza tunaitaka au itokomezwe make sisi ndo watumiaji wenyewe!!!!!
 
Wewe ni "natural man"...yani kama kukata umekata kucha na nywele na bado huwa zinaota....hongera mkuu mie hata sijui nilizaliwaje?...i missed ki-govi changu..ningekuwa nacho nami ningewala kama wewe...ahahaha sukari ya warembooooo

Sukari ya warembo nae ana mkono wa sweta nini
maana wadada wanamgombania sana kama Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Mi nachukia sana hizo kampeni za kukata mikono,
inatakiwa wanawake tuulizwe kwanza tunaitaka au itokomezwe make sisi ndo watumiaji wenyewe!!!!!

Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani kuwa nyie ndio watumiaji...lakini utachagua nini kati ya haya.....1. kutumia kitu ambacho kitakupunguzia chance ya kupata maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa asilimia 60 AU 2. Kutumia kinachokuweka katika mazingira hatarishi ya kupata VVU/UKIMWI?
 
Wewe ni "natural man"...yani kama kukata umekata kucha na nywele na bado huwa zinaota....hongera mkuu mie hata sijui nilizaliwaje?...i missed ki-govi changu..ningekuwa nacho nami ningewala kama wewe...ahahaha sukari ya warembooooo

Ha ha ha ha ha.........
 

Kwa utam wa kigo.vi nipo tayari kuishi mazingira hatarishi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…