Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Samahani kwa kutumia lugha kali kidogo.
Nimetembea Mikoa mingi hapa nchini, na kila nikienda benki yoyote utakutana na wahudumu wanawake waliovalia nguo fupi zilizowabana maeneo muhimu.
Unakuta mpaka mkanda wa chupi unaonekana. Hata nundu iliyonona unaiona pale mbele ikiwa imevimba.
Ni lazima kuvaa nguo fupi zilizobana?
Labda macho yangu huwa yana makengeza