hahahahaaaaaaaaaaaaNaomba namba yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaaaaaaaaaaaNaomba namba yake
kwa sababu nyie wateja wa NBC ni wazeeMbona nbc kuna wabibi
[emoji28] [emoji28] [emoji28]kwa sababu nyie wateja wa NBC ni wazee
kwa hiyo wanadangaA skirt should be long enough to cover the subject but short enough to create interest!
Hapana mkuu,usininukuu vibaya.kwa hiyo wanadanga
Inaonekana wewe ndo diana mkalimoto, unajipigia debeMkuu mbona unamtamka mtu kinagaubaga kiasi hicho? Humu huwa tunatumia lugha ya kificho kidogo unapofanya reference km hizo,si vema unataja jina,eneo na wajihi wake kabisa.
Inaonekana wewe ndo diana mkalimoto, unajipigia debe
Macho hayana pazia.Huo muda wa kuwaangalia unapata wapi ,wakati umeenda kufanya miamala ya uhakika watu wanasubiri pesa iingie maisha yaendelee..
unazo namba zake unitupie mkuu?acha kabisa,pale idara ya maji songea mjini kuna dada anaitwa diana mkalimoto, aisee ana skirt flani hivi fupi ya rangi ya kijivu,akiitupiaga na shat flani ivi la blue ni noma,halaf ana lile jicho kama la rais wa Croatia,mungu fundi aisee,dada kama huyu avae dela la nini????
Ukiwa na vihela vidogo lazima uangalie angalie..Lakini ukiwa na pesa zako nilichukua na kuondokaHuo muda wa kuwaangalia unapata wapi ,wakati umeenda kufanya miamala ya uhakika watu wanasubiri pesa iingie maisha yaendelee..
Haaaa haaaa dela mpaka miguuni linaburutwa kama shelaAcheni angalau tuoshe macho, madela ya akina Chausiku huku kwa Mtogole yametuchosha
Watata kutoa huduma au nini hiyo sinaga afya nayo na sijui kwanininbc ubungo wale wabibi watata hatari
Linabanwa kwenye chupiHaaaa haaaa dela mpaka miguuni linaburutwa kama shela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa sababu nyie wateja wa NBC ni wazee
Haaaa haaaa kazi hiyo siwezi labda awepo wakunishikia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4]Linabanwa kwenye chupi
ninazo mkuu,,,,,,hahahahahhaaaaaaaunazo namba zake unitupie mkuu?