Wanawake wanaofanya kazi benki ni lazima wavae nguo fupi zilizobana mapaja na makalio?

Mkuu mbona unamtamka mtu kinagaubaga kiasi hicho? Humu huwa tunatumia lugha ya kificho kidogo unapofanya reference km hizo,si vema unataja jina,eneo na wajihi wake kabisa.
Inaonekana wewe ndo diana mkalimoto, unajipigia debe
 
unazo namba zake unitupie mkuu?
 
Huo muda wa kuwaangalia unapata wapi ,wakati umeenda kufanya miamala ya uhakika watu wanasubiri pesa iingie maisha yaendelee..
Ukiwa na vihela vidogo lazima uangalie angalie..Lakini ukiwa na pesa zako nilichukua na kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…