S SirBonge JF-Expert Member Joined Jul 18, 2010 Posts 378 Reaction score 437 Feb 1, 2013 #1 Katika utafiti wangu mdogo nimegundua kwamba katika jamii yetu ya ki TZ kundi la wanawake wanaoongoza kwa kujichubua ni 1. POLISI 2. .......... Endeleza hiyo list na sababu kama unazijua
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua kwamba katika jamii yetu ya ki TZ kundi la wanawake wanaoongoza kwa kujichubua ni 1. POLISI 2. .......... Endeleza hiyo list na sababu kama unazijua
promiseme JF-Expert Member Joined Mar 15, 2010 Posts 2,706 Reaction score 935 Feb 1, 2013 #2 Ndio unakofanya kazi police au?
M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 437 Feb 1, 2013 #3 Huna kazi ya maana ya kufanya? jitahidi ujenge mazoea ya kusoma vitabu mbalimbali uwe PRODUCTIVE
Zeddicus JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 627 Reaction score 539 Feb 1, 2013 #4 eh nimeingia kufanya nini humu,napita tu.
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,373 Reaction score 4,141 Feb 1, 2013 #5 Itakuwa wewe si mpenzi wa viti virefu (Bar), unawajua ma-barmaid kweli wewe?
Suprise JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 2,696 Reaction score 1,063 Feb 1, 2013 #6 Wamefanyaje hao kinamama, ndio wanaokudatisha au
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Feb 1, 2013 #7 Still yet sijajua hapa nichangie nini !
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 Feb 1, 2013 #8 Bongo muvi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
stata mzuka JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 4,834 Reaction score 1,765 Feb 2, 2013 #9 Huna kazi ya maana ya kufanya? jitahidi ujenge mazoea ya kusoma vitabu mbalimbali uwe PRODUCTIVE Click to expand... Mbona povu linakutoka au ndo walewale CARO-LIGHT?
Huna kazi ya maana ya kufanya? jitahidi ujenge mazoea ya kusoma vitabu mbalimbali uwe PRODUCTIVE Click to expand... Mbona povu linakutoka au ndo walewale CARO-LIGHT?
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,722 Feb 2, 2013 #10 machangudoa hasa wa corner bar,weupe kama makaratasi.
Nyetk JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 1,648 Reaction score 1,701 Feb 2, 2013 #11 Nenda Mango Garden ukawatazame mabaamedi afu uone utawaweka namba ngapi kwenye orodha yako. Kisha geukia upande wa pili - aimini Uhuru Peak - mitaa ya saa saba usiku uone vijana wa kiume walivyojichubua....
Nenda Mango Garden ukawatazame mabaamedi afu uone utawaweka namba ngapi kwenye orodha yako. Kisha geukia upande wa pili - aimini Uhuru Peak - mitaa ya saa saba usiku uone vijana wa kiume walivyojichubua....
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Feb 2, 2013 #12 Napita tu,eti mlango wa jukwaa la kule chini upo wapi?