Wanawake wanaongoza kwa kulia kwenye msiba

Wanawake wanaongoza kwa kulia kwenye msiba

Wanyakyusa wakilia utaisikia "baba mwakipesile umeniacha mimi siolewi tena,we ndo ulkua unanipatia..."alf ana mnong'oneza mwanae ile mboga nyingine kafiche chini ya uvungu chumbani kwangu kabla hawajaw wengi... alf kilio chake hapo atataja yote aliyo kua anapewa na jamaa chumbani
Ndaga fijoo
 
Hapo Nimekuelewa kumbe vile vilio sio tu uchungu wa kupoteza ndugu bali kuna uchungu mwingine mnafikilia kwa wakati 1

Inawezekana muulize mama yako au bibi yako kwa nini mwanamke akifiwa na mtoto huwa anafungwa khanga kwa nguvu tumboni? Au wengine unakuta wanashika tumbo?
 
Hao wakiambiwa taarifa ya msiba wanavalia taiti kabisa maana wanajua show wanayoenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ni ajira kabisa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom