Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ndaga fijooWanyakyusa wakilia utaisikia "baba mwakipesile umeniacha mimi siolewi tena,we ndo ulkua unanipatia..."alf ana mnong'oneza mwanae ile mboga nyingine kafiche chini ya uvungu chumbani kwangu kabla hawajaw wengi... alf kilio chake hapo atataja yote aliyo kua anapewa na jamaa chumbani
Hapo Nimekuelewa kumbe vile vilio sio tu uchungu wa kupoteza ndugu bali kuna uchungu mwingine mnafikilia kwa wakati 1
Hao wakiambiwa taarifa ya msiba wanavalia taiti kabisa maana wanajua show wanayoenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi ni mazoea tu maana sio wote ni baadhi ktk kumi utakuta ni wawili ni tabia ya kuiga tusasa ni desturi au ni mazoea?