The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Kuna mpenzi halafu kuna mpenzi wangu mimi, hivi wanaume naombeni mnisaidie huwa mna deal vipi na wanawake wenye kununa nuna bila haata sababu.
Wivu sawa ila minuno sasa imezidi, unaweza tu shangaa kanuna alichonunia huelewi wenzangu mnafanyaje..
Ukweli kubembeleza naweza ila kumbembeleza mtu kila siku na sijui shida ake nn naona nmeshindwa.
Hadi imefika hatua nmehisi au mimba ndo inafanyaga watu wawe hivi maana hii ni too much, wababa hebu nisaidieni huwa mnafanyaje hizi hali kuweka mambo sawa?
Binafsi yamenishinda ninavyoandika hapa ndo nishaamua kumwacha kiufupi simtaki tena, kanuna na sijui kanuna nini nmeondoka nimemwacha hapo na mnuno wake.