Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Wengine nyege zikiwabana ndio wanakuwa hivyo, utamaduni wa kukuomba DUDU hawana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just ignore herKuishi na mtu alienuna mkuu bila sababu ni ngumu sana...hata kusaidiana nae kazi inakata
Nishawahi hisi hilo mwanzoni nikawa kama mwanasaikolojia wake ila haongei, ukimuuliza swali anajibu kwa kutingisha kichwaa..mkuu yahtaji moyooKuna mambo anaweza kuwa anapitia katika akili yake penda kukaa naye na kumpa MUDA
Na uangalie kitu gani kinamfanya anakuwa off moody na kitu gani kinamfanya anakuwa on moody.
Asa unataka amnunie nani… tulia wewe ndio namna yake ya kuonyesha upendo kwako
Hujampeleka anapotaka kwenda.Huyu tuseme ana nyege kiasi gani zisizi muisha,ataniua sasa
Point ya pili ndio ya msingiMpe malimao
Mplekekee motoo
Mpe maokoto
Bila kusahau majoto
Ajihisi mtoto
Usingemuacha kabla y’a kujua tatizo!Lijinga, nmeliacha mimi
Kama bwana ametenda atatafuta namna yakunifikishia ujumbe wangu, nitajirudi nitaendelea nae.Usingemuacha kabla y’a kujua tatizo!
Maybe Bwana ametenda hiyo hali ndio inampelekea kuwa hivyo…
Asante mkuu na kweli sina furaha na huyu mwanamke mahusiano asilimia 80% ninkubembelezana kosa hamna..Hiyo Hali inaambukiza vibaya...usipofanya bidii ya kusema nae,utajikuta huna furaha Tena maana hiyo ni roho kamili,anaezuia usione furaha katika ndoa,mwanamke ndio lango kuu la hizo roho.
😂😂😂😂Pia inawezekana ana kiburi cha uzuri, je ni mweupe, au ana shepu au vyote kwa pamoja?
Nishawahi hisi hilo mwanzoni nikawa kama mwanasaikolojia wake ila haongei, ukimuuliza swali anajibu kwa kutingisha kichwaa..mkuu yahtaji moyoo
Mkuu nina shida mimi... nahisi sitoweza haya yoteSio rahisi akuambie Ila m-trace kuanzia katika familia yake
Mtu anaweza kuwa mood swing kwa Sababu mbalimbali .
Kuna watu wanaweza kununa kisa tu wameaona wenzao hawaishi vizuri
Kuna MTU anaweza kununa kwa mambo ya kiafya Kama mimba ,ugonjwa wa muda mrefu .
Mwingine anaweza kununa kwa kukosa kuyatafsiri maisha ni nini.
Mwingine anaweza kununa kwa kuona ni voiceless na hapewi PESA ya kutosha ya kufikia mahitaji yake anayoyataka.
Ushauri :-
Mfanyie philosophy
Mfanyie na Saikolojia
Philosophy inasaidia kumfanya MTU kujua maana ya matatizo yake.
Saikolojia inasaidia kutambua njia bora za Ku-deal na tatizo.
Mkuu nina shida mimi... nahisi sitoweza haya yote