Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Epuka kukaa nae mda mwingi asubuhi ondoka Rudi saa tatu au nne ukirudi kula oga mpige viwili vitatu piga usingizi asubuhi mshtue ingia kambani Moja bila tembea mbele iwe ratiba yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni complicated. Wakati fulani unalazimika kutumia mbinu mbadala ili uweze kumbadilisha mtu (mawazo yake) huna budi kufanya hivo otherwise kubaliana na matokeo. Assume ni mkeo ingekuwaje?MKuu mimi kufanya hiyo kitu na bubu siwezi
Yan upendo siku hizi unaonyeshwa kwa kununa? Ok sawa ehee nofundishe basi akinuna unamfanyaje, unamwambia i love you too
Heri mtu aseme basi japo sina hizo tabia na simu yangu hawezi access hata kwa bahat mbaya, n tabia yake tu hajaanza leo wala jana mwanzo nlijua nakosea nikajitahd kuwa mtakatifu ilibaki kdg niwe namsalimia shkamoo mpenzi wangu, ila bado hatumalizi masaa 48 hajavuta mdomo[emoji2][emoji2][emoji2] ukute anafumafuma vimeseji huko… Hakuna mtu ananuna bila sababu… kila mtu na namna yake kufikisha ujumbe
Ndio tupo hivyo sema tunatofautiana namna ya kununa wenginee tunanuna dakika 2 wenginee miezi so wewe mpotezee atakwambia tu nini amenuna
Ntajuaje sasa jaman, nmehisi hilo nikawa namwambia twende hospital ukacheki KAKATAAA...Kama ni mjamzito basi hiyo huenda ni sababu ...usimuache katika kipindi kama hicho.
Mvumilie jamani
Sikao nae kabisa hadi nikahisi au hii nayo ni sababu anataka nikae nae ila hawez semaEpuka kukaa nae mda mwingi asubuhi ondoka Rudi saa tatu au nne ukirudi kula oga mpige viwili vitatu piga usingizi asubuhi mshtue ingia kambani Moja bila tembea mbele iwe ratiba yako
Heri mtu aseme basi japo sina hizo tabia na simu yangu hawezi access hata kwa bahat mbaya, n tabia yake tu hajaanza leo wala jana mwanzo nlijua nakosea nikajitahd kuwa mtakatifu ilibaki kdg niwe namsalimia shkamoo mpenzi wangu, ila bado hatumalizi masaa 48 hajavuta mdomo
Why too harsh on her.?Asante mkuu na kweli sina furaha na huyu mwanamke mahusiano asilimia 80% ninkubembelezana kosa hamna..
Sijawahi furahia mahusiano kwa mfululizo hata mwezi mzima sijawahi..
Twende studio hyo song kiboko.Mpe malimao
Mplekekee motoo
Mpe maokoto
Bila kusahau majoto
Ajihisi mtoto
kama sio mimba, humkunji sawa sawaKuna mpenzi halafu kuna mpenzi wangu mimi, hivi wanaume naombeni mnisaidie huwa mna deal vipi na wanawake wenye kununa nuna bila haata sababu.
Wivu sawa ila minuno sasa imezidi, unaweza tu shangaa kanuna alichonunia huelewi wenzangu mnafanyaje..
Ukweli kubembeleza naweza ila kumbembeleza mtu kila siku na sijui shida ake nn naona nmeshindwa.
Hadi imefika hatua nmehisi au mimba ndo inafanyaga watu wawe hivi maana hii ni too much, wababa hebu nisaidieni huwa mnafanyaje hizi hali kuweka mambo sawa?
Binafsi yamenishinda ninavyoandika hapa ndo nishaamua kumwacha kiufupi simtaki tena, kanuna na sijui kanuna nini nmeondoka nimemwacha hapo na mnuno wake.
Huu ushauri upuuze, haupo duniani kwa ajili ya kumridhisha yeye tu.Mpe malimao
Mplekekee motoo
Mpe maokoto
Bila kusahau majoto
Ajihisi mtoto
Au humfikishi mlima kilamanjaro ???? Ukute unaishia kitonga ? Hela unampa ?Ntajuaje sasa jaman, nmehisi hilo nikawa namwambia twende hospital ukacheki KAKATAAA...
NIKAMWAMBIA basi nikununulie kipimo upime akasema hataki presha...
Hivi unamwelewaje huyu
Msimfanye mleta uzi afirisike kwa kumjali asiona umuhimu wake.Au humfikishi mlima kilamanjaro ???? Ukute unaishia kitonga ? Hela unampa ?
Okay, do whatever you want…2yrs now in this relationship, still more time needed