Wanawake wanaonuna nuna mnawawezaje wenzangu?

Kwa uzoefu wng huyo kuna njia anaitafuta ili akutawale at last utajikuta umegombana na watu wako wote ndugu, jamaa, marafk ikbd mpk wazazi wako then unajikuta upo na yeye tu, hapo ndpo utajikuta anakupangia mpk muda wa kurud home, utaanza fanyshwa kaz za home. Huo mnuno anataka umuite umuulize ksha akwambie tatzo nn usishangae akakwambia mi spend unavyochelewa kurudi we hunipendi, au siwapend marafk zako ndo wanakupotosha nk nk vitu easy tu bt nyuma yake vimebeba mambo mengne kbs akikwambia hayo ukijchanganya ukasema umemuelewa utajrekebsha at last ataongeza mengne mpk afkie lengo bt kwa style tofauti ya kununa au nyngnezo take care narudia tena take care na pengne alishakusoma akakujua hli nalo n kosa kiufundi hutakiwa kutabirika mi mwanamke wng mambo yng meng hayajui hata ya ndugu zng hajui na staruhusu hlo.
 
Mdogo wangu nikushauri tu kama una hasira mbaya na kali kama zangu ni bora umuache kweupe na usiseme naye kwa kweli mimi mwanamke anayenuna nuna awe jirani, au ndugu huwa siongeagi kabisa nabaki tu kuwa bubu maana najua ninaweza kumtukana au kumpiga vibaya mpaka kumjeruhi nikajiletea shida mimi mwenyewe.

N.b kabla ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke jifunze kumsoma kwanza jinsi alivyo 🙂🙂
Umenena
 
Sio rahisi akuambie Ila m-trace kuanzia katika familia yake

Mtu anaweza kuwa mood swing kwa Sababu mbalimbali .

Kuna watu wanaweza kununa kisa tu wameaona wenzao hawaishi vizuri

Kuna MTU anaweza kununa kwa mambo ya kiafya Kama mimba ,ugonjwa wa muda mrefu .

Mwingine anaweza kununa kwa kukosa kuyatafsiri maisha ni nini.

Mwingine anaweza kununa kwa kuona ni voiceless na hapewi PESA ya kutosha ya kufikia mahitaji yake anayoyataka.

Ushauri :-

Mfanyie philosophy
Mfanyie na Saikolojia

Philosophy inasaidia kumfanya MTU kujua maana ya matatizo yake.

Saikolojia inasaidia kutambua njia bora za Ku-deal na tatizo.

Then kwa maelezo yako mke wako ni negative person

So MTU akiwa negative njia bora ya kumbadilisha ni wewe kumilipa wema kwa ubaya .

Yeye mwenyewe atabadilika na kuwa positive

Sasa usije ukathubutu kumlipa ubaya kwa ubaya .

Be positive akinuna wewe tabasamu

Lakin mkuu hata yeye mwanamke/binadamu yoyote anajua kuwa tabia za kununa nuna zinakera kwenye mahusiano na hasa ukiangalia mtu huyo kapita mahusiano meng huko nyuma anajua vitu fulani vinamkosesha furaha mpenzi wako.

Huyo Bora kuachana nae tu.
 
Usimuache, wanunaji wengi huwa na mapenzi ya kweli. Anakupenda huyo, ni kudeka tu. Tunapenda kubembelezwa muda wote, mimi nanuna nuna mpaka nanuna tena. Usiponizoea utaniacha sekunde. Nanuna tu nimezoea hivyo na hata sijishtukii, najiona niko sawa tu ☺️☺️☺️
 
After wrote this ukanuna tena back to square one 😂😂😂
 
Kwa uzoefu wng huyo kuna njia anaitafuta ili akutawale at last utajikuta umegombana na watu wako wote ndugu, jamaa, marafk ikbd mpk wazazi wako then unajikuta upo na yeye tu, hapo ndpo utajikuta anakupangia mpk muda wa kurud home, utaanza fanyshwa kaz za home. Huo mnuno anataka umuite umuulize ksha akwambie tatzo nn usishangae akakwambia mi spend unavyochelewa kurudi we hunipendi, au siwapend marafk zako ndo wanakupotosha nk nk vitu easy tu bt nyuma yake vimebeba mambo mengne kbs akikwambia hayo ukijchanganya ukasema umemuelewa utajrekebsha at last ataongeza mengne mpk afkie lengo bt kwa style tofauti ya kununa au nyngnezo take care narudia tena take care na pengne alishakusoma akakujua hli nalo n kosa kiufundi hutakiwa kutabirika mi mwanamke wng mambo yng meng hayajui hata ya ndugu zng hajui na staruhusu hlo.
Naomba no yko dm nkutumje ya chai kesho
 
Kuna mpenzi halafu kuna mpenzi wangu mimi, hivi wanaume naombeni mnisaidie huwa mna deal vipi na wanawake wenye kununa nuna bila haata sababu.

Wivu sawa ila minuno sasa imezidi, unaweza tu shangaa kanuna alichonunia huelewi wenzangu mnafanyaje..

Ukweli kubembeleza naweza ila kumbembeleza mtu kila siku na sijui shida ake nn naona nmeshindwa.

Hadi imefika hatua nmehisi au mimba ndo inafanyaga watu wawe hivi maana hii ni too much, wababa hebu nisaidieni huwa mnafanyaje hizi hali kuweka mambo sawa?

Binafsi yamenishinda ninavyoandika hapa ndo nishaamua kumwacha kiufupi simtaki tena, kanuna na sijui kanuna nini nmeondoka nimemwacha hapo na mnuno wake.
Kwa kuwapelekea moto kisawasawa pasipo huruma.
 
Anakupenda sana huyo halafu anakudekea
 
Nenda kamnunulie mkoba hata wa 30000 kisha mpe zawadi hiyo.
 
Kwa uzoefu wng huyo kuna njia anaitafuta ili akutawale at last utajikuta umegombana na watu wako wote ndugu, jamaa, marafk ikbd mpk wazazi wako then unajikuta upo na yeye tu, hapo ndpo utajikuta anakupangia mpk muda wa kurud home, utaanza fanyshwa kaz za home. Huo mnuno anataka umuite umuulize ksha akwambie tatzo nn usishangae akakwambia mi spend unavyochelewa kurudi we hunipendi, au siwapend marafk zako ndo wanakupotosha nk nk vitu easy tu bt nyuma yake vimebeba mambo mengne kbs akikwambia hayo ukijchanganya ukasema umemuelewa utajrekebsha at last ataongeza mengne mpk afkie lengo bt kwa style tofauti ya kununa au nyngnezo take care narudia tena take care na pengne alishakusoma akakujua hli nalo n kosa kiufundi hutakiwa kutabirika mi mwanamke wng mambo yng meng hayajui hata ya ndugu zng hajui na staruhusu hlo.
Nakuelewa sana Boss nakuelewa mnoo... unapita mule mule kwenye akili yangu
 
Usimuache, wanunaji wengi huwa na mapenzi ya kweli. Anakupenda huyo, ni kudeka tu. Tunapenda kubembelezwa muda wote, mimi nanuna nuna mpaka nanuna tena. Usiponizoea utaniacha sekunde. Nanuna tu nimezoea hivyo na hata sijishtukii, najiona niko sawa tu ☺️☺️☺️
Usikute ndo wewe
 
Lakin mkuu hata yeye mwanamke/binadamu yoyote anajua kuwa tabia za kununa nuna zinakera kwenye mahusiano na hasa ukiangalia mtu huyo kapita mahusiano meng huko nyuma anajua vitu fulani vinamkosesha furaha mpenzi wako.

Huyo Bora kuachana nae tu.
Ndio nilicho conclude...
 
Back
Top Bottom