ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kumbe ni kweli?Tena usiombe awe amenyoa ivyo kaweka na style ya kiduku
Sasa hio ni moja tu, mi demu alievaa kikuku hata awe na sura kama malaika hata salamu yangu huwa hapati
Symbol ya malaya aliekubuhu machoni mwanguHahahaaah kwani kikuku kina shida gani?
aisee mie akiwa na hereni puani.... yereeuwiii namuona ka jiniSasa hio ni moja tu, mi demu alievaa kikuku hata awe na sura kama malaika hata salamu yangu huwa hapati
Kweli nini ?Kumbe ni kweli?
Kweli kila mtu na mtazamo wakeSymbol ya malaya aliekubuhu machoni mwangu