ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna hii style ya short hair afu zinakuwa bleached Kama ya amber ruty au kina amber lulu au kina amber rose me nikishamuona demu kajipaka bleach vile namuogopa Kama Moto.machale yananicheza wengi wao nahisi wameunguaga,malaya.demu yoyote nikikuona uko hivo najua Ni wale wale kina amber tabia zile zile kasoro majina tu.