Wanawake wanaopaka bleach kichwani wengi wao vicheche

Unavaaje kikuku sasa kama ni mtu uliyestaarabika!
Kwahiyo wapima ustaarabu kwa vikuku..??ndio maana nimesema kila mtu na mtazamo wake na huo mtazamo sio wako pekee kuna baadhi nao wanamtazamo kama wako

Kuvaa kikuku sio uhuni..na kuvaa kikuku sio kukosa ustaarabu nakataa..kuna watu hawapendi vaa vikuku lakini ni makahaba yaliyoshindikana
 
Sawa ila hata uwe mstaarabu vipi nikiona umevaa hilo dude kama mpenz wangu tunaachana aidha ubadilike chap usije rudia tena!
 
Kama unajua kuvaa kikuku sio uhuni iweje uunge mkono wanaopaka bleach na kunyoa kiduku? Una uhakika gani kama nao ni wahuni
 
km haitoshi na izo nywele zinakua kiduku
tatoo kadhaa mwilini
afu chini ana vikuku vyake
weeeh. Malaya oganaizesheni
 
aisee mie akiwa na hereni puani.... yereeuwiii namuona ka jini
kuna vipini na vishaufu
vipini viko okay tu mana vidogo sana na vinapendeza.
ila vishaufu vinavaliwa katikati ya pua afu hapa katikati malaya wa Dar ndo ilikua sare basi vinachefua
 
Mimi mwenye hayo makitu na pia mwenye tatoo.. Yani akili huwa inafreeze ghafla alaf unapita upofu. So nakua kama simuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…